Skip to content
Home » Yomi Balogun » Reuben Kigame Ft. Taifa Mziki Choir – Baba Yetu Lyrics

Reuben Kigame Ft. Taifa Mziki Choir – Baba Yetu Lyrics

  Lyrics for Baba Yetu By Reuben Kigame Ft. Taifa Mziki Choir

  [Swahili]

  Verse 1:
  Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
  (Our Father in heaven we bring praises to you)
  Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
  (You cannot be compared to anyone in the world)
  Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
  (Heaven and earth praise you, the sun and the moon worship you)
  Wanyama wa pori, ndege wa angani (Wild animals, birds of the air)
  Sifa tele kwako Bwana (Multitudes of praises to you Lord)

  Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
  (Heaven and earth praise you, the sun and the moon worship you)
  Wanyama wa pori, ndege wa angani (Wild animals, birds of the air)
  Sifa tele kwako Bwana (Multitudes of praises to you Lord)
  (Repeat)

  Chorus: *Hoiye is a sound (of praise)
  Hoiye! Sifa zetu, Hoiye! ni zako zote
  (Hoiye, Our praises belong to you alone)
  Hoiye! Usifiwe, Hoiye! Milele Bwana
  (Hoiye be praised forever Lord) Repeat

  Verse 2:
  Tukiomba kwako Baba, sikio lako li wazi kwetu
  (When we pray to you Father, your ears are open to us)
  Macho yako yatuona; sisi watoto wako
  (Your eyes see us; your children)
  Ulimtoa Yesu, mwana wako wa pekee
  (You gave your only son Jesus)
  Alikufa msalabani; sasa tuko huru
  (To die on the cross; and now we are free)

  Other Reuben Kigame Lyrics
  [display-posts category=”Reuben Kigame” exclude_current=”true”]

  Tags:

  Leave a Reply

  Your email address will not be published. Required fields are marked *